Thursday, 15 December 2016

ALIPOZIKWA KANUMBA

Fundi majeneza alipata oda ya Jeneza akawa anapeleka kwa gari lake. Njiani gari ikaharibika, akaamua kubeba kichwani kumpelekea mteja wake akakutana na askari wa4 wakiwa doria, akajua lazima watataka rushwa.

Askari;- Unakwenda wapi na hilo jeneza usiku huu?

Jamaa:- Nilikuwa nimezikwa makabur ya Sinza sijapapenda ndo naelekea Kinondoni nikajizike karibu na Kanumba au mnanishaurije?
*MPAKA SASA HIVI ASKARI HAWAJULIKANI WALIPO*


😂😂😃😃😆😆😆😆😆😄😀😂😂😂😂😂😂😂

No comments:

Post a Comment