HIKI NI KITUO CHA RAHA,KARIBU UBURUDIKE NA MESEJI NA PICHA ZILIZO HIT MTANDAONI,NA WEWE WEKA YAKO ILI UTUBURUDISHE..MMH RAHA UTAMU BIN URODA
TAFUTA TOKA HUMU
Thursday, 15 December 2016
SONG OF THE YEAR
Watu wanapata tabu kujua song of the year Mara KAJIANDAE/SALOME/KOKORO/MUZIKI sijui AJE.. minafikirii ile ACHA WAISOME NAMBA ndo best song of the year maana umehit kitaa bila kupgwa redion mara kwa mara wala haijawahi kuingia top 10 yoyote ππππππ
NAENDA KUSEMA
CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana.
MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka.
WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa ASKOF.
WA TATU akaanza kulia badala ya kuongea.
WENZAKE: We vp unatatizo gani mbona unalia??? AKAJIBU: jamani mimi tatizo langu ni "umbea" haya yote tuliyoongea lazima nikaseme!*
πππ

MWANASHERIA NOMA
Mwanasheria mmoja alifanya mapenzi na mchepuko wake kwenye gari lake, basi yule msichana alifurahia sana lile tendo kiasi kwamba akasahau nguo yake ya ndani kwenye gari. Yule mwanasheria alipofika nyumban mke wake akampokea akaingia ndani, ile kipindi mwanamke anashusha mizigo kutoka kwenye gari, akaiona chupi ya mwanamke kwenye gariπ³, akaanza kupiga kelele kwa asira uku anaichana. Yule mwanasheria akatoka nje haraka haraka kuangalia kilicho tokea, akaanza kumfokea mke wake "We mwanamke umechana ushahidi wa kesi ya ubakaji na ni ya mamilioni*"...
*Mwanamke hapo hapo akapiga magoti akaanza kuomba msamaha*πππ
*Mwanasheria akili yake anaijua mwenyewe*πππ

HATA KWETU WAPO!
MZEMBE; Mambo Rehema?
REHEMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka Nikuonyeshe!!
REHEMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako..
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
REHEMA; Ok, Nionyeshe..
MZEMBE; *Ona Mwenzio
Nimenunua Saa
Yakuwakawaka.
πππππππππ π π π
Hata humu ndani wamo
REHEMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka Nikuonyeshe!!
REHEMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako..
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
REHEMA; Ok, Nionyeshe..
MZEMBE; *Ona Mwenzio
Nimenunua Saa
Yakuwakawaka.
πππππππππ π π π
Hata humu ndani wamo
HATUPENDAGI UJINGA UJINGA!
Juzijuzi nilimtembelea rafiki yangu ambaye anajitahidi kuishi kama wale anaowaona kwenye Luninga, sasa yeye ana kavulana kake kako nasari, nako anakalea kama vile vitoto vya kwenye Luninga, mwenyewe anakaita junia sijui junia ndio hivyo hivyo, na kwa vile kule nasari kamejifunza kutamka Dadi and Mami badala ya baba na mama, jamaa yangu anajiona mjaaaanja, basi Kabwamdogo hako hakakaripiwi wala kukatazwa chochote.
Nilipata taarifa kuna siku kalimvua baba yake taulo alipokuwa katoka bafuni tena mbele za watu, jamaa akaishia kusema tu, "No Junia no...! is bad!” Na kucheka cheka huku akisifu, "Tatizo la huyu mtoto ni ana akili za kikubwa” Ene wei siku hiyo jamaa akanikaribisha kwake, basi kwa kweli ilikuwa kero, mara Junia kaleta mpira anaupiga mbele yetu anaangusha vitu, anatupiga usoni na mpira anaangaliwa tu, "Junia no!", anapanda meza mara kabati, jamaa yangu na mke wake utadhani wamelogwa, wanakenua tu meno, "No Junia no" Mara mbili hivi kakaniparamia na kutaka kunivua miwani yangu, 'Kwa ustaarabu wa nyumba ile na mie nikatoa ya kinafiki, 'No Junia no'.
Bahati nzuri mama Junia akaingia jikoni, Baba Junia akaenda chumbani kidogo, sebuleni tukabaki mimi na hiki kidude kisichokuwa na chembe ya adabu. Si kikaanza vimaswali vya maudhi...! "Leo umekuja kula kwetu?" "Kwenu mna TV? Babako anakuleteaga chokoleti?" Kikawa mara kivunje kikombe mara glasi, mama yake anapiga kelele toka jikoni, "Junia yu a veri bed". Sasa chenyewe si kikakosea kikanipanda kichwani na kuanza kunivuta nywele nikaona sasa hii zereu.
Basi nilikishika mkono nikakitolea macho na kukifinya vizuri mgogongoni. Kwanza kilitoa macho kama kinataka kufa, kikaniangalia hakiamini akili yake kuwa kimefinywa na binadamu aliye hai, na mie nikakiambia kwa sauti ya chinichin... "We Junya ukinisogelea tena nakukata masikio kabisa".
Eeh bwana we kilitimka mle sebuleni mkojo unakitirirka kikaelekea jikoni. Kufika huko nilitegemea kianze kulia kwa nguvu, kikawa kimya. Mama yake anakiuliza "Junia umefanya nini tena baba?" kimya "Junia what has happened?" kimya, mama yake akaja huku chenyewe kimejificha nyuma ya gauni la mamake, "Huyu kafanya nini?" Nikajibu kwa sauti ya mtu asiye na dhambi kabisa... "Wala sijui nimeona tu katimka hapa kaja huko".
Baada ya hapo kukawa na displin mle ndani tukala na kuzungumza bila fujo. Baba Junia kila mara akimwangalia mwanae na kumuuliza, "Junia a yu sik? Unaumwa?" Junia akinitupia jicho mwenyewe alikuwa ananyamaza anajua kuna kukatwa masikio.
Mababa tuliopitia Mtakuja primary hatupendagi ujinga ujinga!!!!
πππππππ

ALIPOZIKWA KANUMBA
Fundi majeneza alipata oda ya Jeneza akawa anapeleka kwa gari lake. Njiani gari ikaharibika, akaamua kubeba kichwani kumpelekea mteja wake akakutana na askari wa4 wakiwa doria, akajua lazima watataka rushwa.
Askari;- Unakwenda wapi na hilo jeneza usiku huu?
Jamaa:- Nilikuwa nimezikwa makabur ya Sinza sijapapenda ndo naelekea Kinondoni nikajizike karibu na Kanumba au mnanishaurije?
*MPAKA SASA HIVI ASKARI HAWAJULIKANI WALIPO*
ππππππππππππππππππ

Subscribe to:
Posts (Atom)