MZEMBE; Mambo Rehema?
REHEMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka Nikuonyeshe!!
REHEMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako..
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
REHEMA; Ok, Nionyeshe..
MZEMBE; *Ona Mwenzio
Nimenunua Saa
Yakuwakawaka.
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Hata humu ndani wamo
No comments:
Post a Comment