Thursday, 15 December 2016

NAENDA KUSEMA

CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo  yao ili waweze kuombeana.
MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. 
WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa ASKOF.
WA TATU akaanza kulia badala ya kuongea.
WENZAKE: We vp unatatizo gani mbona unalia??? AKAJIBU: jamani mimi tatizo langu ni "umbea" haya yote tuliyoongea lazima nikaseme!*
😂😂😂

No comments:

Post a Comment